213 (kundi)

213 ni kundi la muziki wa hip hop kutoka mjini Long Beach, California likiuanganishwa na msanii kama vile Snoop Dogg, Warren G na Nate Dogg. Mwaka wa 2004, waliungana tena na kutoa albamu ya The Hard Way, ambayo ilifikia #4 katika chati za Billboard 200 huko nchini Marekani. Albamu ilitoa single kama vile "Groupie Luv" na "So Fly". Jina la kundi linatokana na kodi ya eneo la Long Beach kwa kipindi chicho.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search